Saturday, April 13, 2013

Manow Lutheran Junior Seminary


 JE UNATAFUTA SHULE NZURI?
 

Manow Lutheran Junior Seminary ni shule nzuri na yenye kujali utu wa mtu!!
Tunaamini kuwa kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa hivyo mwanafunzi huandaliwa katika misingi ya kitaaluma na kumjua Mungu ambaye ndiye chanzo cha maarifa.

Unaweza kuwa miongoni mwa wanaotafuta shule kwa udi na uvumba ni shule gani mwanao anaweza kusoma na kuandaliwa vema basi jibu lako ni Manow Lutheran Junior Seminary ni shule ambayo wazazi wengi wameikubali sana kwani wanafunzi ambao ni watoto wao hujengwa kiakili na kiroho pia!!!

Unaweza ukawa unajiuliza Manow Lutheran Junior Seminary iko wapi?
Ipo katika mkoa wa Mbeya Wilaya ya Rungwe!!
Ni kilometer mbili na nusu kutoka ofisi za Halmashauri (BUSOKELO) Jimbo la Rungwe Mashariki linaloongozwa na mbunge Mark Mwandosya.

Usijiulize maswali nenda shuleni Manow utapokelewa na kuhudumiwa vizuri. Kama uko mbali na eneo hili na ungependa kujua mengi kuhusu nafasi za kujiunga na shule hii wasiliana nasi kupitia +255764571520 utaongea na makamu wa mkuu wa shule!

NB Shule ina o'level na A'level.
Shule ina waalimu wengi tena waliobobea katika fani ya ufundishaji, 
huduma zote safi, shule ina vitabu vya kutosha, maabara ya kisasa inayo muwezesha mwanafunzi kujifunza kwa njia ya vitendo, mabweni safi, kwa kuzingatia afya michezo imezingatiwa.






MwalukosyaKwa hakika Manow Lutheran Junior Seminary ni jibu la familia yenye maono ya sasa na ya baadaye!


 All comments are valuable to me, so you  may use your precious time to comment or show how you perceive and what do you suggest for the better of our community.
I value your positive concern
By Joshua Mwalukosya
+255768904017


















3 comments:

Unknown said...

try

Anonymous said...

Tayari

Anonymous said...

Ndiyo Mwl. Joshua (Dingi yetu). Nimefurahi kuona unaendelea kuipenda Manow shule iliyotutoa mbali wengi!
Mwl. samahani unaweza kunisaidia kujua kwa sasa A'level combination ni zipi?
Nitakupigia badaye kwa njia ya simu dingi!
Masomo mema sir.